Kiswahili - WILAYA ZILIZO JUMUISHWA 1 NDHIWA 2 SOTIK 3 KAKAMEGA CENTRAL 4 NYAMIRA 5 HOMABAY 6 RACHUONYO 7 MIGORI 8 UGENYA\/UGUNJA 9 KISUMU WEST 10

Kiswahili - WILAYA ZILIZO JUMUISHWA 1 NDHIWA 2 SOTIK 3...

This preview shows page 1 - 4 out of 175 pages.

WILAYA ZILIZO JUMUISHWA1.NDHIWA2.SOTIK 3.KAKAMEGA CENTRAL4.NYAMIRA5.HOMABAY6.RACHUONYO7.MIGORI 8.UGENYA/UGUNJA9.KISUMU WEST10. MATUNGU11. BUTERE12. KAKAMEGA EAST13. NYATIKE14. KHWISERO15. TRANS NZOIA WEST16. TRANSMARA17. KAKAMEGA NORTH18. MUMIASMADA ZILIZOMOUkurasa KARATASI YA KWANZA 102/1Insha za Kiuamilifu 3Insha za kawaida 4KARATASI YA PILI 102/25Ufahamu 5Ufupisho 20Matumizi ya lugha 30Isimu Jamii 40KARATASI YA TATU (102/3)43Riwaya: UTENGANO: S.A. MOHAMMED43Tamthilia: KIFO KISIMANI: KITHAKA WA MBERIA44Ushairi 46Fasihi Simulizi 59
Background image
Hadithi Fupi : K. WAMITILA: MAYAI WAZIRI WA MARADHI NA HADITHI NYINGINEZO62Mwongozo wa kusahihisha62-152
Background image
Mkusanyiko huu umegawanywa katika sehemu tatu kuu kulingana na karatasi ya Kiswahili.Karatasi ya kwanza 102/1Insha za kiuamilifu 1. Andika mahojiano baina ya mkuu wa wilaya na mwandishi wa habari kuhusu utovu wa usalama wilayani mwako.2. Hali ya usalama imekuwa ikizorota katika lokesheni yako. Andika barua kwa chifu wa eneo lenu ukionyesha visa vya ukosefu wa usalama na upendekeze njia za kukabiliana na hali hiyo. 3.Umealikwa katika ofisi ya mkuu wa wilaya kupendekeza njia za kukomesha uadui unaotokana na ukabila nchini. Andika mazungumzo jinsi yalivyoendelea.4.Wewe ni kiranja anaye husika na masomo shuleni mwako. Mwandikie kiranja anayehusika na masomo katika shule jirani ukiwaalika wanafunzi wake katika mjadala shuleni mwako. Ambatanisha ratiba itakayofuata siku hiyo. 5. Kitengo kinachohusika na usalama barabarani kimekuchagua wewe kama mwanajopo kati ya wanachama watano. Mmetakiwa kuchunguza kinachosababisha ajali nyingi nchini na kutoa mapendekezo yenu jinsi ya kurekebisha hali hiyo. Andaa ripoti yenu. 6. Umehudhuria mkutano wa vijana kujadili njia za kuboresha maisha ya vijana katika jamii. Andika kumbukumbu za mkutano huo. 7.Umefikishwa hospitalini ukiugua. Andika mahojiano kati yako na daktari 8. Wewe ni Afisa Mkuu wa Polisi wilayani mwenu; Andika kumbukumbu za mkutano wa kamati ya usalama uliofanyika hivi karibuni kuhusu mikakati ya kuimarisha usalama wilayani humo. 9 Suala la ufisadi limekuwa tatizo sugu katika jamii ya Kenya. Andika mahojiano kati ya mwenyekiti pamoja na Afisa wa Sheria katika Tume ya Kupambana na Ufisadi nchini na mwandishi wa habari juu ya mbinu za kupambana na ufisadi. 10. Mkuu wa mkoa wa Tuinuane ameongoza mkutano wa viongozi mkoani uliojadili kuhusu amani na maridhiano baada ya vita vya kikabila mkoani humo. Andika kumbukumbu za mkutano huo 11. Matokeo ya mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne yametangazwa. Imesadifu kwamba wewe ndiye mwanafunzi bora katika Mkoa wa Magharibi. Mwanahabari wa Gazeti la Tujivune amekutembelea nyumbani kwenu. Andika mahojiano yenu. 12. Wewe ni Katibu wa kamati ya chama cha wazazi na walimu shuleni mwenu. Andika kumbukumbu za mkutano uliofanyika hivi karibuni.
Background image
Image of page 4

You've reached the end of your free preview.

Want to read all 175 pages?

  • Fall '12

  • Left Quote Icon

    Student Picture

  • Left Quote Icon

    Student Picture

  • Left Quote Icon

    Student Picture