sunday - KENYATTA UNIVERSITY SCHOOL EDUCATION UNIT CODE AKS...

This preview shows page 1 - 3 out of 6 pages.

KENYATTA UNIVERSITY SCHOOL: EDUCATION UNIT CODE: AKS 101 UNIT NAME: LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI ACADEMIC YEAR 2016/2017 LECTURER ‘S NAME: DR STEPHEN WAMALWA. NAMES ADM .NO PHONE NUMBER DANIEL MABONGA WASIKE E35/2385/2016 0702840791 NYABUTO OGWOKA BELDEN E35/2389/2016 0714757941 JAMES O.NGIGE E35/2206/2016 0706856850 PENINAH CHEBET CHEPTIRGEI E35S/20158/2016 0711439640 JANET NAMUSONGE SIMIYU E35/2061/2016 0707438515 CHEBET WHITNEY E35/2062/2016 0792911929 NAMANDA NATECHO AGNES E35/2049/2016 0791516854. Swali namba 15 Bainisha sifa zinazoitambulisha sajili ya kituo cha basi
1.Lugha inayotumika katika kituo cha basi imesheheni msamiati maalumu .Kwa mfano : Utingo,dereva ,nauli ,msafiri ,abiria na kadhalika . 2.Katika kituo cha basi lugha si rasmi .lugha hutumika ovyo bila kuzingatia sarufi kwani lugha ya sheng huongoza ,mfano : Utingo : ‘tao mbao ` –badala ya mjini ni shilingi ishirini . 3.Mara nyingi sentensi fupifupi hutawala kwa mfano Utingo : Pesa mbele . Msafiri: Ngapi stage? Utingo: Mbao. Msafiri : Shika. 4.Kuna uradidi wa maneno yanosemwa na utingo ,kwa mfano :Utingo :Ishirini !Ishirini!Ishirini!

  • Left Quote Icon

    Student Picture

  • Left Quote Icon

    Student Picture

  • Left Quote Icon

    Student Picture