Chelsea.docx - Surname1 Student’s Name Professor’s name Course Date Onyesho la kwanza Tendo la kwanza Ni katika karakana ya soko la

Chelsea.docx - Surname1 Student’s Name Professor’s name...

This preview shows page 1 - 2 out of 2 pages.

Surname1 Student’s Name Professor’s name Course Date Onyesho la kwanza Tendo la kwanza Ni katika karakana ya soko la chapakazi,Sudi,Boza na Kombe wanafanya kazi yauchongoji.Sudi amefungulia redio huku wakiendelea na kazi yao.Ashua anawaletea chaiyamkandaa na mahamri yakuondoka.Habari inatolewa kwa wananchi wa Sagamoyo kuwawana kipindi cha mwezi mzima kusheherekea uhuru wao,wawakubuke majagina wao waliopigania uhuru wa kuwanasua kutoka utumwani, wimbo wa kizalendo unachezwa mara kwa mara.Sudi anatofautiana na mpango wa kusheherekea uhuru kwa mwezi mzima; kwake majagina wanaosheherekewa hawakufanya lolote katika historia ya Sagamoyo. Kuna uchafuzi wazingira ,viongozi hawajawajibika kusafisha soko wanadai kodi na kitu juu pia vitisho kwa wanasagamoyo. Wazo kuu Kuna wale ambao wanaunga viongozi mkono kwa sababu wanafumbwa kwa mambo yasiyo ya kimsingi. Aidha kuna wale ambao wamezinduka na kuhisi kuwa viongozi hawajawajibika.Sudi haoni umuhimu wa sherehe za uhuru kupewa maandalizi ya kifahali na kipindi cha mwezi mzima.
Image of page 1
Image of page 2

You've reached the end of your free preview.

Want to read both pages?

 • Fall '16

What students are saying

 • Left Quote Icon

  As a current student on this bumpy collegiate pathway, I stumbled upon Course Hero, where I can find study resources for nearly all my courses, get online help from tutors 24/7, and even share my old projects, papers, and lecture notes with other students.

  Student Picture

  Kiran Temple University Fox School of Business ‘17, Course Hero Intern

 • Left Quote Icon

  I cannot even describe how much Course Hero helped me this summer. It’s truly become something I can always rely on and help me. In the end, I was not only able to survive summer classes, but I was able to thrive thanks to Course Hero.

  Student Picture

  Dana University of Pennsylvania ‘17, Course Hero Intern

 • Left Quote Icon

  The ability to access any university’s resources through Course Hero proved invaluable in my case. I was behind on Tulane coursework and actually used UCLA’s materials to help me move forward and get everything together on time.

  Student Picture

  Jill Tulane University ‘16, Course Hero Intern

Stuck? We have tutors online 24/7 who can help you get unstuck.
A+ icon
Ask Expert Tutors You can ask You can ask You can ask (will expire )
Answers in as fast as 15 minutes
A+ icon
Ask Expert Tutors