matatizo ya msamiati.docx - IDARA YA KISWAHILI AKS 102 Na...

This preview shows page 1 - 3 out of 5 pages.

IDARA YA KISWAHILIAKS 102: Na Daktari Gakuo JKJina nambari ya usajili sahini1.Samuel Mwangi E35/1843/20192.Cynthia Mokobi E34/0430/20193.Ondara Machuki E35/2326/20194.Purity Mutuku E35/1971/20195.Odhiambo Sheddy E35S/15469/20146.Christine Sivika C01/0129/20197.Victor Kiprono E35/2119/20198.Fridah Kasumuni E34/5761/20199.George Mugendi E35/1993/2019
Swali; jadili matatizo yanayotokana na undaji wa istilahi na msamiati mpya katika lugha yaKiswahili na upendekeze hatumua mhimu za kukabiliana na matatizo hayo.UTANGULIZITangu Kiswahili kilipoanza kutumiwa kama lugha ya mawasiliano katika shuguli tofauti haswakatika enea la Afrika ya mashariko, lugha hii imekuwa ikiendea kuimarika kutokana na juhidi zawatalaam na wasomi wa lugha hii kutaka kukiimarisha Kiswahili na kukifanya mojawapo walugha zinazo julikana sio tu Afrika mashariki mbali Afrika na duniani kote. Kutokana na kukuakwa lugha hii, changamato mbalimbali zimejitokeza nan a zinazidi kujitokeza, na baadhi yachanagamoto hizi ni uundaji wa istilahi na msamiati mpya na watumizi wa lugha ya Kiswahiliwakikusudia kurahisisha mawasiliano na matatizo haya ni kama ifuatavyo;Kuna istilahi nyingi katika lugha ya Kiswahili ambazo zimekopwa au kutoholewa hata paleambapo neon la Kiswahili lingetumika, hili hivyo linapelekea maneno ya asili ya Kiswahili

  • Left Quote Icon

    Student Picture

  • Left Quote Icon

    Student Picture

  • Left Quote Icon

    Student Picture