AKS 102.docx - SCHOOL KENYATTA UNIVERSITY DEPARTMENT SCHOOL...

This preview shows page 1 - 4 out of 8 pages.

SCHOOL: KENYATTA UNIVERSITY DEPARTMENT: SCHOOL OF EDUCATION COURSE TITLE: HISTORICAL DEVELOPMENT OF KISWAHILI COURSE CODE: AKS 102 NAME: ROBERT ONDIEKI ISABOKE REG NO.: E35/OL/KER/6448/2018 CONTACT: 0719361996 LECTURER: DR JACKTONE OKELLO ONYANGO SWALI LA UTAFITI WA NYANJANI: JADILI CHANGAMOTO ZINAZOKUMBA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KISWAHILI KATIKA MTAALA MPYA WA ELIMU(2-6-6-3) KISHA UPENDEKEZE NAMNA YA KUKABILIANA NAZO 1
1. YALIYOMO Table of Contents 1. YALIYOMO ...................................................................................................................................... 1 2. UTANGULIZI ......................................................................................................................................... 3 3. CHANGA MOTO ................................................................................................................................... 4 3.1 Wazazi ............................................................................................................................................... 5 3.2 Wanafunzi ...................................................................................................................................... 5 3.3 Walimu .......................................................................................................................................... 5 3.4 Taasisi ya maendeleo ya mtaala nchini(KICD) .............................................................................. 6 3.5 Vyumba vya uchapishaji ................................................................................................................ 6 4. Mapendekezo ........................................................................................................................................... 6 4. MAREJELEO ......................................................................................................................................... 8 2
2. UTANGULIZI Kiswahili ni lugha ambayo inatumika katika mawasiliano kama chombo cha kupasia hisia, fikira, mawaida kutoka mtu au kikundi kimoja hadi kingine. Kwa kuwa mawasiliano nijambo la muhimu katika maisha ya jamii kunalo hitaji la kuhakikisha kuwa ujumbe umeeleweka visuri katika makundi yanayohusika. Kuhakikisa malengo ya mawasiliano yametimia kunayo haja ya kujifunza lugha. Somo la Kiswahili limejumlishwa katika masomo mengine katika mfumo wa elimu. Mnamo 1964, serikali iliteua Tume ya Elimu ya Kenya iliyoongozwa na Profesa Ominde. Tume hiyo ilipendekeza mfumo wa elimu wa 7-4-2-3. Pia ikapendekeza matumizi ya Kiingereza katika kufundishia tangu shule za msingi. Kutekelezwa kwa pendekezo hilo kulichcohea kuanzishwa kwa Mwelekeo Mpya wa Msingi. Hata hivyo, tume ikatahadharisha kwamba lugha za kikabila zisipuuzwe. Kwanza, ikapendekeza pawepo na angalau kipindi kimoja cha fasihi simulizi (kutoa hadithi) kila siku katika ratiba ya shule kati ya madarasa ya 1 na 3. Pia Kiswahili kilitambuliwa kama lugha ya taifa na utaifa wa Afrika. Kwa sababu hiyo, tume ikapendekeza mpango maalum wa kuwaandaa walimu wa Kiswahili na Kiarabu nyakati za likizo. Hata kama Kiswahili kilitambuliwa, ufundishaji wake katika skuli za msingi haukutiliwa maanani. Kilitengewa vipindi

  • Left Quote Icon

    Student Picture

  • Left Quote Icon

    Student Picture

  • Left Quote Icon

    Student Picture