{[ promptMessage ]}

Bookmark it

{[ promptMessage ]}

20101006093056574 (1)

20101006093056574 (1) - Somo la Kumi na Tano MAZUNGUMZO 1...

Info iconThis preview shows pages 1–15. Sign up to view the full content.

View Full Document Right Arrow Icon
Background image of page 1

Info iconThis preview has intentionally blurred sections. Sign up to view the full version.

View Full Document Right Arrow Icon
Background image of page 2
Background image of page 3

Info iconThis preview has intentionally blurred sections. Sign up to view the full version.

View Full Document Right Arrow Icon
Background image of page 4
Background image of page 5

Info iconThis preview has intentionally blurred sections. Sign up to view the full version.

View Full Document Right Arrow Icon
Background image of page 6
Background image of page 7

Info iconThis preview has intentionally blurred sections. Sign up to view the full version.

View Full Document Right Arrow Icon
Background image of page 8
Background image of page 9

Info iconThis preview has intentionally blurred sections. Sign up to view the full version.

View Full Document Right Arrow Icon
Background image of page 10
Background image of page 11

Info iconThis preview has intentionally blurred sections. Sign up to view the full version.

View Full Document Right Arrow Icon
Background image of page 12
Background image of page 13

Info iconThis preview has intentionally blurred sections. Sign up to view the full version.

View Full Document Right Arrow Icon
Background image of page 14
Background image of page 15
This is the end of the preview. Sign up to access the rest of the document.

Unformatted text preview: Somo la Kumi na Tano MAZUNGUMZO 1. Mazungumzo ya kwanza —- Juma hajafika shuleni Mwalimu: Juma yuko wapi? Mwanafunzi: Sijui, hayupo sasa. Mwalimu: Umemwona Ieo asubuhi? Mwanafunzi: La, sijamwona bado, hajafika shuleni. Mwalimu: Alikuwa hapa wiki iliyopita? Mwanafunzi: Hakuwapo ijumaa, na hakuja alhamisi pia. Mwalimu: Yeye ni mgonjwa? Mwanafunzi: Bila Shaka! 2. Mazungumzo ya pili — Mwalimu hajarudi bado Juma: Mwalimu yuko afisini? Aisha: La, hayupo; ameenda darasani; hajarudi bado. Juma: Atarudi saa ngapi? Aisha: Pengine atakuwapo hapa saa sita mchana. 3. Mazungumzo ya tatu -— Kitabu cha mwanafunzi kilikuwa wapi? Mwalimu: Una kitabu chako leo? Mwanafunzi: Ndiyo, bwana. Mwalimu: Kilikuwa(ko) wapi jana? Mwanafunzi: Kilikuwa(ko) nyumbani. MAZOEZI 1 . Zoezi la kwanza ~fika Amefika? La, hajafika (bade). —soma Amesoma? La, hajasoma (bado). —(ku)ja Amekuja? La, hajaja (bado). —(ku)enda Ame(kw)enda? La, hajaenda (bado). 2. Zoezi la pili Hasani Umemwona Hasani Ice? La, sij amwona bado. wanafunzi Umewaona wanafunzi 160? La, sijawaona bado. wazee Umewaona wazee 160? La, sijawaona bado. mwanafunzi Umemwona mwanafunzi 160? La, sijamwona bado. tisini na tisa 99 Somo Ia Kumi na Tano 3. Zoezi la tatu jana jumamosi jumapili jumatatu 4. Zoezi Ia nne jumanne alhamisi ijumaa wiki iliyopita 5. Zoezi Ia tano kesho jumamosi jumapili jumatatu 6. Zoezi Ia sita kitabu Vitabu daftari madaftari mfuko mifuko baisikeli pesa maziwa inatengenezwa n 100 mia moja Juma alikuwa(ko) wapi jana? Alikuwa(po) hapa hapa. Juma alikuwa(k0) wapi jumamosi? Alikuwa(p0) hapa hapa. Juma alikuwa(ko) wapi jumapili? Alikuwa(p0) hapa hapa. Juma alikuwa(ko) wapi jumatatu? A1ikuwa(po) hapa hapa. Walikuwa(p0) hapa jumanne? La, hawakuwa(p0) hapa. Walikuwa(po) hapa alhamisi? La, hawakuwa(p0) hapa. Walikuwa(po) hapa ijumaa? La, hawakuwa(p0) hapa. Walikuwa(po) hapa wiki iliyopita? La, hawakuwa(po) hapa. Utakuwa(po) hapa kesho? Utakuwa(po) hapa jumamosi? Utakuwa(p0) hapa jumapili? Utakuwa(po) hapa jumatatu? Kitabu kilikuwa(k0) nyumbani? Vitabu vilikuwa(ko) nyumbani? Daftari lilikuwa(ko) nyumbani? Madaftari yalikuwa(ko) nyumbani? Mfuko ulikuwa(k0) nyumbani? Mifuko i1ikuwa(ko) nyumbani? Baisikeli ilikuwa(ko) nyumbani? Pesa zilikuwa(k0) nyumbani? ZOEZI LA KUSOMA a maziwa mengi. Mchanganyiko wa maji, m La, sitakuwapo. La, sitakuwapo. La, sitakuwapo. La, sitakuwapo. La, hakikuwako. La, havikuwako. La, halikuwako. La, hayakuwako. La, haukuwako. La, haikuwako. La, haikuwako. La, hazikuwako. ajani ya chai, mazi- Somo Ia Kumi na Tano kavu haina maziwa na kwa kawaida majani na maji tu yanachemshwa pamoja. Jiko la ku— chemsha chai na vikombe na vijiko vimo garini. Yeye anauza chai ya maziwa kwa bei rahisi sana. Kila kikombe kina bei yake. Kikombe cha chai ya maziwa ni senti thelathini; chai kavu ni senti ishirini kila kikombe. Leo asubuhi Baba Hamisi amechelewa kwenda kuuza chai kwa sababu hakuwa na majani ya chai ya kutosha na vitu vingine vya kutengeneza chai. Kwa hivyo leo asubuhi alikwenda madukani ili kununua mahitaji yake. Alinunua chai na maziwa na sukari. Bei za Vitu hivi vyote zimepanda. Vitu vyote vimekuwa1 ghali sana. Mwanzo hakutaka kulipa kwa sababu bei ni ghali. Mwishowe alilipa. Na kuanzia kesho atauza chai yake ya mazi— wa kila kikombe shilingi kumi na tano na senti hamsini na chai kavu kwa shilingi kumi tu. Waswahili wanasema kwamba "kipandacho hushuka"2 pengine bei hizi ghali Zita- shuka lakini Baba Hamisi na sisi tunajua kwamba bei hizi zote hazitashuka. Ndiyo3 hali ya dunia! lVimekuwa 'they have become'; cf. vilikuwa 'they were'. 2Kipandacho hushuka 'what goes up comes down‘ (Proverb). 3Ndiyo '(this) is indeed‘. Maswali 1. Baba Hamisi ana gari lake wapi? 2. Vitu gani vimepanda? 3. Baba ameuza chai leo asubuhi? 4. Alikuwako kiwandani? 5. Vitu gani Vimo katika gari lake? 5. Waswahili wanasema nini? mia moja na moja 101 Somo Ia Kumi na ' ano HABARI ZA SARUFI 1. More about the -me- Tense 0 Compare the following: A—me—chelewa. 'He is late.‘ Ki-me-potea. “It is lost.‘ A-me—rudi. ‘He has returned.‘ A—me-enda. ‘He has gone/is gone.‘ A-me—soma. ‘He has read/studied.‘ 0 In the previous lesson we saw cases of the -me- tense/aspect marker used with verbs that conveyed information about states (-potea 'be lost‘, —chelewa ‘be late‘, and ~vunjika ‘be broken‘); in this lesson we find examples of —me— with action verbs (—soma 'read', —enda 'go', and fika 'arrive). With these verbs the -me- tense has an English translation of ‘has/have' plus a past participle, e.g. 'has read, has arrived‘, and so on. Verbs which are marked with -me- focus on present states or on the results of past events. Thus, when someone says a-me-enda ‘s/he has/is gone‘, they are not talk— ing about the going as a past event but as one which is complete at the time of the statement; to say a—me—enda is to say that someone is gone, i.e. not here, and as far as anyone knows, has not yet returned. 2. The -ja- 'Not Yet‘ Tense o The ~ja~ tense is used in Swahili to state that some event has not yet taken place, or some result has not yet been achieved; it is used with negative subject prefixes, and the word bado 'yet' or 'still' is often used with it: Si—ja-soma somo la kumi (bado). 'I haven't studied lesson ten yet.‘ Hawa—ja-fika (bado). ‘They haven't arrived yet.‘ 0 Monosyllabic verbs with -ja~ generally do not retain the ku— of the infinitive: Sijala. ‘I haven‘t eaten yet.‘ Hajaja. ‘He hasn't come yet.‘ 3. Past and Future Tense Forms with -po, -ko, and -mo 0 Subject prefixes followed by -po, ~ko, and -mo are used in making statements about place: Nipo hapa. ‘I am here.‘ Mko kazini? ‘Are you at work?‘ Wamo humu. 'They are in here.’ 0 To express past and future statements about place, the verb kuwa 'to be‘ is used with appropriate tense markers followed by optional -po, ~ko, and -mo: Nilikuwa(po) hapa. 'l was here.‘ Mtakuwa(ko) kazini? ‘Will you be (there) at work? Watakuwa(mo) humu. They will be in here.‘ 0 The locative markers -p0, -k0, and -mo are not optional when it is necessary to state some aspect of place which is not otherwise specified: Kitabu kilikuwa(ko) nyumbani? ’Was the book (there) at home?‘ Ndiyo, kilikuwako. ‘Yes, it was there.‘ 102 mia moja na mbili m Somo la Kumi na Tano Kitabu kilikuwamo nyumbani. 'The book was in the house.’ Kitabu kilikuwako nyumbani. 'The book was at the house.‘ Kitabu kilikuwapo nyumbani. 'The book was here at the house.’ 0 Note the difference in meaning expressed by the use of -p0, —k0 and -mo in the above examples. 0 When the locative markers -p0, -k0, and -mo are used in past and future forms, some speakers prefer the following pronunciation where the vowel a of kuwa is changed to e: Nilikuwako 0r Nilikuweko. 'I was there.’ Watakuwako or Watakuwepo. 'They will be here.‘ 4. The Object Pronoun -mw- o The object pronoun for 'him/her' is -m- before verb roots beginning with a conso- nant (as studied and practiced in Lesson 11), but is ~mw- before vowel—initial roots: Nina-m-penda. '1 love him/her.‘ Nina-m-pikia. 'I'rn cooking for him/her.’ Nina-mW—ona. 'I see him/her.’ Nina-mw-ambia. 'I'm telling him/her.‘ ZOEZI LA NYUM ANI Tafsiri Have you seen Hamisi this morning? No, he hasn't arrived yet. He will get here at noon. . Was he here on Friday? No, he didn't come. He will be right here at one this afternoon. Have they arrived yet? N 0, they are late. Have they returned yet? No, they didn't come today; they will return tomorrow. She is here now. She was here yesterday. She'll be here tomorrow. I haven’t studied the Swahili book. What time did he return? He hasn't arrived yet. I will tell her that I was here. PPWNQM¥WNE H MSAMIATI 1. Maneno ya Mazungumzo na Mazoezi -ambia say to, tell jumamosi Saturday afisi office (also ofisi) jumapili Sunday bado yet, still jumatatu Monday bila without jumanne Tuesday bila Shaka Without doubt, undoubtedly jumatano Wednesday humu in this place, in here, alhamisi Thursday here inside ijumaa Friday ~0na see pengine perhaps Shaka doubt, uncertainty wiki week (from English) mia moja na tatu 103 Somo Ia Kumi na Tano 2. Maneno ya Zoezi Ia Kusoma -anzia begin with bei price chai kavu plain tea (lit. dry tea) -chemsha boil -chemshwa be boiled dunia world —enda madukani go shopping gari/ma- vehicle, cart ghali expensive hali condition, situation hivi these (VI-) hizi these (N- pl.) jani/ma— leaf jiko/meko stove, kitchen -kavu dry kijiko/vi— spoon kikombe/vi— cup kuanzia beginning; to begin with kwamba that (conjunction) mwanzo/mi— beginning; at first mwisho/mi- end mwishowe finally rahisi cheap, easy senti cent -shuka go down, get down, descend vyote all (VI—) MWUZAIl 104 mia moja na nne Somo la Kumi na Sita MAZUNGUMZO 1. Mazungumzo ya kwanza — Saa yako iko wapi? Mwalimu: Adija, saa yako iko wapi? Mwanafunzi: Iko mkononi mwangu. Mwalimu: Na yako, je, Hasani? Mwanafunzi: Yangu iko nyumbani. 2. Mazungumzo ya pili —— Motokaa ya nani? Mwalimu: Ulikuja hapa kwa motokaa, Juma? Mwanafunzi: Ndiyo, mwalimu. Mwalimu: Ni motokaa yako? Mwanafunzi; Hapana, si yangu. Mwalimu: Ni ya nani? Mwanafunzi: Ni ya wazazi wangu. Mwalimu: Ni motokaa nzuri? Mwanafunzi: Hapana, ni mbovu. 3. Mazungumzo ya tatu — Shati zuri lilitengenezwa wapi? Juma: Ali, shati lako ni zuri; lina rangi nzuri. Alizz Asante, Juma. Juma: Lilitengenezwa wapi? Ali: Lilitengenezwa Kenya na rafiki yangu. Juma: Nguo ya shati ilitengenezwa huko pia? Ali: Ndiyo, ilitengenezwa na Chama cha Umoja wa Wanawake. MAZOEZI 1. Zoezi la kwanza saa Una saa yako? Ndiyo, nina yangu. motokaa Una motokaa yako? Ndiyo, nina yangu pesa Una pesa zako? Ndiyo, nina zangu. mfuko Una mfuko wako? Ndiyo, sina yangu. mia moja na tano 105 Somo Ia Kumi na Sita 2. Zoezi la pili kitabu vitabu kalamu daftari madaftari 3. Zoezi la tatu saa kiti meza wino gari magari 4. Zoezi Ia nne 5. 6. 6. 883 watoto pesa Zoezi la tano baisikeli motokaa kitabu mwalimu watoto rafiki rafiki (p1.) gari mashati Zoezi la sita mfuko mifuko Vitabu kalamu Zoezi Ia sita shati mashati nguo suruali viatu kiatu Yeye ana kitabu cha nani? Yeye ana vitabu vya nani? Yeye ana kalamu ya nani? Yeye ana daftari 1a nani? Yeye ana madaftari ya nani? Ni saa yako? Ni kiti chako? Ni meza yako? Ni Wino wako? Ni gari lako? Ni magari yako? Adija, saa yako iko wapi? Na yako, je, Hasani? Adija, watoto wako wako wapi? Na wako, je, Hasani? Adij a, pesa zako Ziko wapi? Na zako, je, Hasani? Baisikeli yake ni nzuri? Motokaa yake ni nzuri? Kitabu chake ni kizuri? Mwalimu wake ni mzuri? Watoto wake ni wazuri? Rafiki yake ni mzuri? Rafiki zake ni wazuri? Gari lake ni zuri? Mashati yake ni mazuri? Kuna mfuko wa nani mezani? Kuna mifuko ya nani mezani? Kuna Vitabu vya nani mezani? Kuna kalamu ya nani mezani? Ana chake. Ana vyake. Ana yaks. Ana lake. Ana yake. La, si yangu, ni yake. La, si changu, ni chake. La, si yangu, ni yake. La, si wangu, ni wake. La, si langu, ni lake. La, si yangu, ni yake. Iko nyumbani. Yangu iko nyumbani pia. Wako nyumbani. Wangu wako nyumbani pia. Ziko nyumbani. Zangu Ziko nyumbani pia. La, ni mbovu sana. La, ni mbovu sana. La, ni kibovu sana. La, ni mbovu sana. La, ni wabovu sana. La, ni mbovu sana. La, ni wabovu sana. La, ni bovu sana. La, ni mabovu sana. Ni wangu/ni mfuko wangu. Ni yangu/ni mifuko yangu. Ni vyangu/ni Vitabu vyangu. Ni yangu/ni kalamu yangu. Shati lake lilitengenezwa na nani? Mashati yako yalitengenezwa na nani? Nguo zako zilitengenezwa na nani? Suruali yako ilitengenezwa na nani? Viatu vyako vilitengenezwa na nani? Kiatu chako kilitengenezwa na nani? 106 mia moja na sita Somo la Kumi na Sita ZOEZI LA KUSOMA Vyakula vya Afrika ya Mashariki Katika Afrika ya Mashariki kuna wakulima, wavuvi na wachungaji ng'ombe. Kwa hi— vyo watu wa sehemu mbalimbali wanakula chakula tofauti. Kwa mfano, watu wa pwani wanakula samaki. Samaki zinapatikana kwa urahisi: kuna wavuvi huko pwani. Watu wa pwani wanapenda kupika Chakula chao kwa nazi, kwa sababu kuna minazi mingi. Cha— kula kikuu chao ni wali wa nazi, yaani wali unapikwa katika tui 1a nazi. Tui ni kama ma- ziwa ya nazi: linatengenezwa kwa kukuna nazi. Baadaye nazi hii inatiwa majil na kukav muliwa ili kupata tui lake. Kwa Vinywaji watu wanakunywa chai, au kahawa, au maji. Waafrika wengi ni wakulima na wanajitegemea kwa kupata chakula chao kutoka ma— shamba yao. Wengi wana mashamba yao madogo na wanalima mboga mbalimbali kama maharagwe, mahindi na Viazi. Kule panda za Nairobi watu wanatumia mboga hizi kwa kupika irio, chakula muhimu sana cha Wakikuyu. Irio ni mchanganyiko wa maharagwe, mahindi na Viazi. Katika sehemu nyingi za Kenya na Tanzania watu wanapenda kula ugali kama chakula Chao kikuu. Ugali unatengenezwa kwa unga wa mahindi, au mtama, au muhogo. Baada ya maji kuchemshwa, unga unatiwa maji ili kutengeneza ugali. Katika sehemu kavu za nchi za Afrika ya Mashariki watu ni wachungaji wanyama. Wanawategemea wanyama wao kwa chakula. Kwa mfano Wamasai wanakunywa moha— nganyiko wa maziwa na damu. Wao ni wachungaji ng'ombe na wana ng'ombe wengi, lakini hawali nyama nyingi. Katika sehemu nyingine kama nchini Uganda wakulima wanapanda migomba mingi na kwa hivyo chakula chao kikuu ni matoke. Matoke ni aina moja ya ndizi. Matunda mengi yanapatikana katika Afrika ya Mashariki. Kuna miembe, mipapayu, minanasi, na miti mingine mingi. Maembe mazuri yanapatikana sehemu za pwani na mananasi yanamea vizuri pande za juu karibu na Nairobi. ‘Nazi hii inatiwa maji lit. 'this coconut has water put into (it)' mia moja na saba 107 Somo la Kumi na Sita KUTAYA m9 HA Maswali 1. Irio ni chakula Cha nani? . Nazi zinatumiwa na nani? Mchanganyiko wa maziwa na damu unatumiwa na watu wa pwani? Unakula nini kama chakula chako muhimu? . Je, embe ni tunda gani? 108 mia moia na nane Somo la Kumi na Sita HABARI ZA SARUFI l. Possessive Concords 0 Concords which occur with possessives (-a, -angu, —ak0, -ake, aetu, -enu, -a0) are altered forms of the subject prefix series; their shapes for the various classes are listed, along with the adjectival prefixes, in the table following Note 3. 0 The possessives follow the nouns they modify, and they are used as possessive adjectives or pronouns: Una saa yako? 'Do you have your watch?’ (poss. adjective) Ndiyo, lakini yeye hana yake. ’Yes, but he doesn't have his.’ (possessive pronoun) 2. Adjectives o Adjectives in Swahili agree with the noun they modify. 0 Adjectives follow the nouns they modify. 0 Note that the modified noun can be deleted as in Zoezi la Tana. 0 As a general rule, noun prefixes and adjectival prefixes follow the same pattern; they have a basic shape before stems beginning with consonants, and a somewhat modified form before stems beginning with vowels. Note the following examples: wa-toto wa—zuri 'nice children' ki—tabu ki-zuri 'good book' wa—toto W—eusi 'black children' ki—tabu ch—eusi 'black book' w—alimu wa-zuri 'good teachers' ch—akula ki-zuri 'good food' w—alimu W-eusi 'black teachers' ch—akula ch—eusi 'black food' 0 Of special and exceptional interest: a. Class 11 nouns and Class 14 nouns do not govern u— prefix on the adjective; they behave like Class 3 nouns: m—ti m—zuri 'a good tree' Class 3 u—pande m-zuri 'a good side' Class 11 u—ji m—zuri 'good porridge' Class 14 b. Class 9/10 adjectives have several possible shapes: some take N- prefix (m—, n—, ny-, etc); others have no prefix. We will take special note of this in later les— sons. For now it is enough to learn that ~zuri has the shape n—zuri with Class 9/ 10 nouns, and -bovu the shape mbovu‘. c. Mbavu Class 9/ 10 and mbovu Class 1/3 have different pronunciations. Mbovu Class 1/3 has an initial syllabic nasal comparable to the syllabic nasals of such nouns as mrz' or mm. However, the m- in mbovu Class 9/ 10 is not syllabic. Listen to your instructor's pronunciation for the difference. d. Some adjectives, mainly borrowed words, do not require an agreement con- cord and are invariable, e. g. safi 'clean', tayari 'ready', tofauti 'different': watu tofauti 'different people’ mtu safi 'a clean person' chakula tayari 'ready food' mia moja na tisa 109 Somo la Kumi na Sita 3. Adjectival and Possessive Concords 0 Note that there are two sets of prefixes represented here. Adjectives and nouns share one set; the possessive concords and those with -a 'of’ are modifications of the subject prefix set: Class Noun Adjective 1 m-tu m—zuri 2 wa—tu wa—zuri 3 m-ti m-zuri 4 mi-ti mi-zuri 5 fl—tunda fl—zuri 6 ma-tunda ma—zuri 7 ki~tu ki-zuri 8 vi—tu vi~zuri 9 n-dizi n-zuri 10 n—dizi n—zuri 11 u—limi m-zuri 14 u—huru m—zuri 15 ku—taka ku—zuri 16 meza—ni pa—zuri 17 meza—ni ku—zuri 18 meza-ni m-zuri 4. Animate Nouns and Agreement Subject a-/yu~ wa— -A 'of' Possessive wa w-angu wa w-angu wa w-angu ya y—angu la l~angu ya y—angu eha ch-angu vya vy—angu ya y-angu za z—angu wa w~angu wa w-angu kwa kw—angu pa p—angu kwa kw—angu mwa mw—angu 0 All Swahili animate nouns, words that denote humans and animals, govern Class 1/2 (M—fWA-) concords; compare the following: Mwalimu ni mzuri. Anafundisha vizuri. (mwalimu Class 1) 'The teacher is good. She teaches well.‘ Yeye ana rafiki mzuri. Anampenda sana. (rafiki Class 9 animate) 'She has a good friend. She loves him much.‘ Viongozi wote wanakuja. (Viongozi Class 8 animate) 'All the leaders are coming.‘ 0 There is an important exception to this rule. Generally speaking, possessives (-angu, —ak0, etc.) do not have Class 1/2 concords when they modify Class 9/10 animate nouns. Animate nouns of other classes, e. g. Class 7, pattern like Class 1 nouns; compare the following: mtoto wangu 'my child’ mama yangu 'my mother' baba yangu 'my father' rafiki yangu 'my friend' mama zangu 'my mothers' baba zangu ‘my fathers' (ma)rafiki zangu 'my friends‘ kiongozi wangu 'my leader' Viongozi wangu 'my leaders' ndizi yangu 'my banana' ndizi zangu 'my bananas' Class 1 Class 9 animate Class 9 animate Class 9 animate Class 10 animate Class 10 animate Class 10 (or 6) animate Class 7 animate Class 8 animate Class 9 inanimate Class 10 inanimate Note that rafiki can have a Class 10 or Class 6 plural; both govern zangu. 110 mia moja na kumi Somo la Kumi na Sita 0 All animate nouns, however, govern Class 1/2 concords on -a 'of: mama wa Juma ’Juma‘s mother‘ (ma)rafiki wa Juma 'Juma's friend(s)’ kiongozi wa Juma 'Juma’s leader‘ 5. Passive Sentences 0 Passive verb forms are constructed by adding —wa or -1iwa and -lewa in cases where the verb root ends in a vowel. The choice of ~1iwa and -lewa depends on the vowel of the verb root; see Lesson 11, Note 3, pp. 71—72 for more information. -tengeneza 'make, fix' —tengenezwa ’be made, be fixed’ -chemsha 'boil' —chemshwa 'be boiled’ —nunua 'buy' —nunuliwa ‘be bought‘ —ondoa 'clear away' —ondolewa 'be cleared away' 0 Passive sentences in Swahili normally parallel English passive sentences in translation. In Swahili passive sentences the object of the active sentence (e. g., shati 'shirt’ in the example below) becomes the subject of the passive sentence; and the subject (the agent: mama 'mother') is shifted to a position following the verb and is preceded by the preposition na 'by’: Active: Mama yangu alitengeneza shati langu. 'My mother made my shirt.’ Passive: Shati langu lilitengenezwa na mama yangu. 'My shirt was made by my mother.‘ 0 Agents in passive sentences are not always overtly marked but are implied: Shati langu lilitengenezwa huko. ’My shirt was made there.’ Maji yalichemshwa kwa chai. 'Water was boiled for tea.‘ Kitabu kilinunuliwa jana. ’The book was bought yesterday.’ Takataka ziliondolewa. 'The trash was cleared away.‘ ZOEZI LA NYUMBANI Tafsiri . He has gone home; he has your books. Does he have his car today? . His watch is a nice one; mine was nice, but it is now broken. Where was your bike made? My books were here yesterday; they are not here now. Undoubtedly, they (books) are lost. . Mine aren't here either. 8. He has (just) seen him in his room. 9. He is at his school. 10. It is his place. sewewNH Jaza na Tafsiri l. Saluma, wewe p0 hapa? Ndiyo, mo humu. 2. Sina kitabu angu. Je, wewe una ako? 3. Kuna baisikeli a nani karibu na meza? mia moja kumi na moja 111 Somo Ia Kumi na Sita 4. Mashati ____ ake yote litengenezwa China. 5. Watoto __ ako k0 wapi? 6. Juma k0 wapi? Sijui, pengine alienda na rafiki ____ ake. 7. Rafiki a Adija ana penda (yeye) sana. 8. Nilimwona mama _____, ake sokoni. 9. Marafiki angu wote wameenda Dar es Salaam. lO. Baisikeli angu ilitengenez _____ hapa hapa Marekani. MSAMIATI 1. Maneno ya Mazungumzo na Mazoezi -a nani .7 whose? -ake his, her, hers —ak0 your, yours —angu my, mine —a0 their, theirs -b0vu rotten, bad chama/vy- society, organization, party —enu your, yours p1. -etu our, ours mkono/mi— arm, hand mkononi mwangu on my arm/wrist (Class 18) —0nd0a clear away rangi color (N—) umoja unity (cf. moja 'one‘) kiatu/vi- shoe -zuri good, nice, beautiful 2. Maneno ya Zoezi Ia Kusoma —a juu high, upper baadaye afterwards (cf. baada ya 'after‘) chumba/vy— room damu blood (N—, usually sg.) embe/ma- mango haragwe/ma- bean irio a type of food (from Kikuyu) kahawa coffee (N—, usually sg.) -kamuliwa be squeezed (cf. ~kamua 'squeeze' as in mi kiazi/vi- potato kinywaji/vi- drink, beverage -kuna scratch (-kuna nazi ' grate coconuts') kwa urahisi easily (cf. urahisi) take/ma- type of banana (from Luganda) —mea grow (plants) mnanasi/mi- pineapple plant mnazi/mi- coconut palm mpapayu/mi- papaya tree mtama/mi— millet 112 mia moja kumi na mbili lking) Somo la Kumi na Sita muhimu important (invariable adjective) muhogo/mi- cassava mwembe/mi- mango tree (cf. embe/ma- 'mango‘) nanasi/ma- pineapple nazi coconut (N—) ng’ombe cow, cattle (N -) mnyama/wa- animal (cf. nyama 'meat') -pika cook safi clean, pure (invariable adjective) tayari ready (invariable adjective) —tia put in —tiwa be put in tofauti different (invariable adjective) tui/ma— coconut juice (liquid squeezed from grated coconut) ugali type of food (stiff porridge-like cooked cereal or meal) upande/pande side, section, area (U—lN-) urahisi ease, easiness, easy (U—) wali cooked rice (U-) wali wa nazi rice cooked with coconut tui . '3‘.- fi1‘gg— ‘ 2" l El KUTtaN GEN EZA TU! mia moja kumi na tatu 113 ...
View Full Document

{[ snackBarMessage ]}

Page1 / 15

20101006093056574 (1) - Somo la Kumi na Tano MAZUNGUMZO 1...

This preview shows document pages 1 - 15. Sign up to view the full document.

View Full Document Right Arrow Icon bookmark
Ask a homework question - tutors are online