{[ promptMessage ]}

Bookmark it

{[ promptMessage ]}

mtihani wa mwisho - Mtihani wa Mwisho Kiswahili 1 Andika...

Info iconThis preview shows pages 1–3. Sign up to view the full content.

View Full Document Right Arrow Icon
Mtihani wa Mwisho Kiswahili 5/7/2009 1. Andika mtiririko wa hadithi ya “Pendo La Kwanza.” “Pendo La Kwanza” ni hadithi juu ya upendo baina ya Thulani na Mtembezi. Hadithi yalianza katika New York karibu Shule ya Kolumbia. Mtembezi anatembea toka jengo la Chuo cha Sheria lini anasikia sauti ya mwanamke. Sauti zanawa mali ya mpenzi ambaye alijua kwa zamani. Kwanza, hakumtambua lakini lini Thulani anafika na anamtazama, Mtembezi anamtambua mara moja. Thulani anacheka na anasema katika sauti za furaha lakini Mtembezi anafikiri juu ya barua kwamba alimacha kwa zamani. Ilikuwa miaka kumi na tisa, lakini bado Mtembezi anampendeza. Baada ya, walipendana sana sana na walikuwa pamoja kwa miaka mitatu. Walikumbana katika shule ya upili na watu wote (wazazi wao na rafiki yao) walifikiri kwamba Mtembezi na Thulani wangebaki pamoja kwa maisha yao yote. Lakini hapana, siku moja, Thulani aliacha kazi yake na alienda nyumba yake kufungasha mizigo yake. Lini Mtembezi alienda kwa affisi ya Thulani, hakumona. Katika nyumba ya Thulani, wazazi yake walimsema kwamba Thulani aliacha barua tu. Wasiwasi, Mtembezi alihisi uchungu na maumivu. Lakini sasa, baadaye miaka mingi, wanafuma tena. Wote wawili wana wapenzi wapya na watoto. Lakini wanapana namba ya simu na watapanga kuonana tena. Wawili wanatembea mbali, na Thulani anasahau kumambia kwamba jina la mtoto wake wa kwanza ni Mtembezi. Itaendelea… 2. Mwandishi alieleza nini kuhusu mandhari na hali ya hewa katika hadithi. Kwanza kwa hadithi, ilikuwa mswimwi wa Kinyamajani, katika Desemba. Pia, ilikuwa mswimwi wa kipupwe na nje kulikuwa baridi. Si baridi kama New York sasa, lakini mmoja atataka kuvaa koti au sweta kuweka wa vuguvugu. Majani yakaanza kubadili rangi nyingi. Rangi kama hiyo katika moto. Ilikuwa baada ya chakula cha mchana na jua liliangaa. Hakukuwa mawingu katika juu basi jua lilipa uvuguvugu. Matawi yalitingi pole pole kwa sababu upepo. Siku yalikuwa kamili kwa upendo. 3. Kwa nini unafikiri Thulani alimwacha Metembezi? 1
Background image of page 1

Info iconThis preview has intentionally blurred sections. Sign up to view the full version.

View Full Document Right Arrow Icon
Mtihani wa Mwisho Kiswahili 5/7/2009 Sijui kabisa nini Thulani alimwacha Mtembezi. Walikuwa wafurahi na walikuwa pamoja kwa miaka mitatu. Labda Thulani alitaka kuona dunia. Katika barua yake, alimwita “Mpenzi” na bado alimpenda Metembezi. Lakini Mtembezi halikuwa wa kutosha kutengeneza Thulani alitaka kukaa. Sifikiri kwamba Thulani aliwa na mpenzi mingine. Labda alitishika kwamba pendo lake la kwanza langekuwa pendo lake la pekee na alitaka kuona gani mpenzi mingine angeingiza mchezo.
Background image of page 2
Image of page 3
This is the end of the preview. Sign up to access the rest of the document.

{[ snackBarMessage ]}

Page1 / 6

mtihani wa mwisho - Mtihani wa Mwisho Kiswahili 1 Andika...

This preview shows document pages 1 - 3. Sign up to view the full document.

View Full Document Right Arrow Icon bookmark
Ask a homework question - tutors are online