{[ promptMessage ]}

Bookmark it

{[ promptMessage ]}

Muhtasari wa Sura ya Tano

Muhtasari wa Sura ya Tano - Jane Maporomoko Kaburi Bila...

Info iconThis preview shows pages 1–2. Sign up to view the full content.

View Full Document Right Arrow Icon
Jane Maporomoko Kaburi Bila Msalaba 2/29/2008 Muhtasari wa Sura ya Tano Sura yalianza na Mumbi, wazee wawili, na Meja Blue (kijana mmoja) pamoja. Meja Blue alishikwa kwa sababu alikula kiapo, alisaidia watu wingine kula kiapo pia, na alichukua bunduki. Meja Blue aliposkikwa, hakumtambuwa kwa Chifu. Ingawa, jina lake lilijulikanwa kwa watu wingine vile Meja Blue hukuwa kiongozi cha Mau Mau. Kwa hivyo, habari zilipoenea upesi na saa mbili baada ya kukamata chake, yalikuwa vikundi vidogo sana kila njia kati ya Konyu na Githunguri. Walitaka kumokoa na walifanya! Basi tunaenda karibu na kijiji cha Ngaini. Haya yalikuwa njia ya gari la moshi ambaye inapitia na inagawa kijiji kwa mahali mbili. Mau Mau waliyopenda njia sana sana (na kijiji pia). Walitumia gari la moshi kuleta bunduki na risasi kutoka Nairobi. Madereva lile la gari la moshi walikuwa na urafiki na Mau Mau na basi walikusaidia. Ragatini walitupa chini na waliendeleza kwa siri mpaka walifika msitu. Lakini yalikuwa njia nyingine kulinda vifaa. Karibu kijiji cha Ngaini kuna soko ambalo linajulikana kwa watu wote. Hapa liitwa Karatina na wasichana wa Mau Mau na “Joni” (askari mbalimbali) hutembeleana. Urafiki huu hukuna faida. Mau Mau walipokea
Background image of page 1

Info iconThis preview has intentionally blurred sections. Sign up to view the full version.

View Full Document Right Arrow Icon
Image of page 2
This is the end of the preview. Sign up to access the rest of the document.

{[ snackBarMessage ]}