SWA2021 INSHA 1 - marafiki ambao tulisubiri ndege zao...

Info iconThis preview shows pages 1–2. Sign up to view the full content.

View Full Document Right Arrow Icon
Jessica Bode 1/10/08 Insha ya kwanza Msimu uliopita nilikuwepo Dar es Salaam.  Nilikaa bwenini na nilisoma chuoni  kukuu kwa Dar es Salaam.  Nilifurahi sana na nilikutana watu wengi wazuri sana,  waafrika na wazungu.  Kwa hivyo, nilikuwa na huzuni kubwa nilipojilazimisha kuondoka  na kurudi nyumbani.  Nimerudi ili niweze kuimaliza shahada yangu, halafu nitaanza kozi  ya afya ya watu.  Nilipofunganya mizigo yangu, wakazi wenza nami tulikuwa tunalia sana kwa  sababu hatukujua tukionana tena.  Nilifikiri kwamba ningekesha safari mzima, lakini  baada ya kuiaga Dar es Salaam na kupanda ndege, nililala fofofo mara moja. Nilipofika Amsterdam, wapi ndege nyingine ilikuwa, pahala pa kwanza nilipaona  palikuwa Haagen Daaz.  Nilikuwa nimejifunza kupenda Azam, lakini hakuna aiskrimu  nyingine kama Haagen Daaz.  Nilikimbia harakaharaka mpaka duka, kajiunga na 
Background image of page 1

Info iconThis preview has intentionally blurred sections. Sign up to view the full version.

View Full DocumentRight Arrow Icon
Background image of page 2
This is the end of the preview. Sign up to access the rest of the document.

Unformatted text preview: marafiki ambao tulisubiri ndege zao. Baadaye, niliporudi pahali pa ndege yangu, mwanamume Mwingereza mzee aliniuza kwa nini nilikimbia mpaka aiskrimu. Nilieleza kwamba nilikuwa nimekaa Afrika na sikuweza kuipata Haagen Daaz. Alicheka sana, halafu alifanya kitu kizuri sana. Alitumia Frequent Flyer Miles na alinitia katika daraja ya kwanza! Nilinywa mvinyo na niliangalia picha ya The Bourne Ultimatum. Chakula kilikuwa kitamu sana. Nilifurahi sana, na nilijua kwamba nilikuwa na bahati kubwa kwa sababu sitaweza kumudu kulipa kwa peke yangu! Nilikuwa na husuni nilipofika nyumbani! Lakini ilikuwa nzuri sana kuona familia yangu tena, na mamangu alikuwa na furahia kuniona. Walinimatema na nilipumzika sana kwa sababu nilikuwa nimechoka kwa ajili ya safari ya muda wa saa ishirini na tisa....
View Full Document

This essay was uploaded on 04/07/2008 for the course SWA 2021 taught by Professor Matondo during the Spring '08 term at University of Florida.

Page1 / 2

SWA2021 INSHA 1 - marafiki ambao tulisubiri ndege zao...

This preview shows document pages 1 - 2. Sign up to view the full document.

View Full Document Right Arrow Icon
Ask a homework question - tutors are online