Mtihani wa Pili - Jessica Bode Chemshabongo Namba Mbili...

Info iconThis preview shows pages 1–2. Sign up to view the full content.

View Full Document Right Arrow Icon
Jessica Bode Chemshabongo Namba Mbili Shida ni hadithi ilioandikwa na Ndyanao Balisidya matatizo ya kawaida ya Watanzania wakati miezi ya sabini. Chonya ni mvulana mrefu, wa rangi ya maji ya kunde. Anafanya kazi zote zinazomwezesha kijijini kwake. Anasaidia wasafiri kila asubuhi na anaota kuhusu siku moja atakapoweza kwenda mjini, lakini kwa yeye, inaonekana kwamba hatakuwa na pesa au cheo kufanya hivyo. Bado, Chonya ana mpenzi wake anayeitwa Matika. Yule ni msichana mzuri kabisa, na ana akili sana ili anaweza kushinda Chonya chuoni. Siku moja Matika anarejea nyumbani na babake anamwambia kwamba anamlazimisha kuolewa na mwanamume mwingine anayetoka familia nzuri. Matika hataki kuolewa bado, lakini kutofanya hivyo na kuhalifu babake si hiari. Hali inamponyesha, na mamake naye wanapanga namna ya kuchurupuka. Matika anaondokea kijijini asubuhi ijayo, y anafuata mto mpaka mji. Nyumbani, babake anafuma habari za kuponya y anakasirika sana, hasa na mke wake. Hapa, mwandishi anaonyesha shida kubwa ya zamani baba ya Matika anapopiga mamake
Background image of page 1

Info iconThis preview has intentionally blurred sections. Sign up to view the full version.

View Full Document Right Arrow Icon
Image of page 2
This is the end of the preview. Sign up to access the rest of the document.

{[ snackBarMessage ]}

Page1 / 2

Mtihani wa Pili - Jessica Bode Chemshabongo Namba Mbili...

This preview shows document pages 1 - 2. Sign up to view the full document.

View Full Document Right Arrow Icon
Ask a homework question - tutors are online