(b)Dhihirisha ukweli wa methali “mzoea sahani vya vigae haviwezi” katika hadithi ya mapenzi ya kifaurongo(alama 10) 7. Aliyeumwa na nyokaakiona ung’ong’o hushtuka(alama 4)a) Weka dondoo hili katika muktadhab) Eleza namna mzungumziwa alivyoumwa na nyoka(alama 6)c) Mzungumziwa anaendeleza vipi maudhui ya ushauri na ukosefu wa utu?(alama 10)SEHEMU YA E: FASIHI SIMULIZI8. a) Ni nini maana ya vivugo(alama 2)b) Eleza sifa zinazotambulisha vivugo (alama 8)c) Fafanua majukumu ya vivugo(alama 10)For more visit EXPLICIT PUBLISHERS Page | 306
We have textbook solutions for you!

The document you are viewing contains questions related to this textbook.
Kiswahili KIGUMO102/1PRE MOCKKISWAHILI KARATASI YA 1 INSHA KIDATO CHA NNEJULAI 2018MWONGOZO WA KUSAHIHISHIASWALI LA 1 Hii ni insha ya lazima kwa kila mtahiniwaMtahini andike barua rasmiSURAHii ni insha ya kiuamilifu na hivyo izingati sura maalum ya barua rasmi. (i) Anwani mbili(a) Anwani ya mwandishi – upande wa kulia juu.(b) Anwan iya mwandikiwa – kushoto chini. (ii) Mtajo uwepo chini ya anwani ya mwandikiwa mfano:Kwa MheshimiwaKwa Gavana mpendwa, n.k(iii) Kusudi liwekwe chini ya mtajo, liandikwe kwa herufi kubwa kisha kupigiwa mstari. Mfano: MAPENDEKEZO YA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI SOKOMOKO.(iv) Mwili: Katika mwili mtahiniwa azingatie kumtajia Gavana mapendekezo ya kamati kuhusu miradi humo wilayani- Haya ndiyo mapendekezo. (a) Gavana alenge kuimarisha miundo – msingi kama vile- Uhifadhi wa mazingira kupitia upanzi wa miti na kudhibiti ukataji- Kuinua viwango vya elimu kupitia ujenzi wa shule zaidi.- Kumotisha vijana kupitia ‘kazikwavijana’.- Kuimarisha usalama katika wilaya.- Usambazaji / uenezaji wa nguvu za umeme.- Usambazaji wa maji kwa wanawilaya.- Mradi wa kusaidia wasiobahatika wilayani. (v) Hitimisho – Mtahini waazingatie hitimisho rasmi la barua rasmi mfano: Wenu mwaminifuMpendwa Maendeleo( Katibu wa kamati )TANBIHI Asipozingatia sura ya barua rasmi aondolewe alama nne( 4 za sura) baada ya kukadiriwa. Ni muhimu mtahini atambue kaunti na wilaya anayozingatia. Asipofanya hivyo atakuwa amepungukiwa.Mfano;KAMATI YA MAENDELEOWILAYA YA ULITIMAS.L.P 20150 SOKOMOKO.KWA MHESHIMIWA GAVANA, KAUNTI YA UTUKUFU,S.L.P 13500UTUKUFU Ni muhimu kuzingatia kanuni zingine zozote zile za ukadiriaji wa insha na hasa barua rasmi.SWALI LAPILI Tetea kauli kuwa Dunia ni kijiji tandawazi-Hii ni insha ya maelezo hivyo iandikwe kwa mtindo wa nathari / zingatia aya mbalimbali.-Mtahini azingatie hoja mbalimbali akionyesha vile dunia ime kuwa ndogo / kijiji / au imo mikononi mwetu kupitia mtandao na teknolojia ya kisasa. -Mtahini azingatie hoja zifuatazo:aUsafiri kwenda kokote ulimwenguni umeboreka.bMawasiliano yameimarika pakubwa.cMwingiliano wa tamaduni umeboreka.dBiashara imeimarika kwa kiwango kikubwa.eAfya na matibabu zimeimarikafUhusiano wa nchi umeboreshwa.gNchi za ulimwengu zimeingiliana kisiasa.
Upload your study docs or become a
Course Hero member to access this document
Upload your study docs or become a
Course Hero member to access this document
End of preview. Want to read all 338 pages?
Upload your study docs or become a
Course Hero member to access this document
Term
Winter
Professor
obychi
Tags