Shina ni mzizi shina ni sehemu ya neno ambayo

This preview shows page 66 - 69 out of 142 pages.

shinanimzizi.Shinanisehemuyanenoambayoinakuwepo kabla ya kupachika viambishi vya kisarufi. Mfano katika Kiiengereza;shinachair>chair(s);teacher > teacher(s).Tunaona kuwachairsimetokana namzizichair-. Nateachersimetokana na uambatanowateach-na –er. Hapateachni mzizi lakiniteacherni shina ambalo linapachikwa kiambishi tamati–s.Mwishonitunayodhanayaumbolamsingi(base)ambalolawezakuambishwavipashio vyovyote vile viwe vya kisarufi au vya kinyambulishi. Tuangalie mfanowa chair ambapo tunaweza kupatachairsauchairedyaani kwa umbo la msingi lachair tunapata tunajenga nomino yenye uwingi (chairs) na vilevile kitenzichaired.Kwa maneno mengine kila mzizi ni kipashio cha msingi (base). Vipashio hivi vyamsingi vyawa mashina pale tu vinapotumika katika muktadha wa uambishaji wakisarufi.Sasatuangalieainazaviambishinajinsizinavyogawikikakatikalughambalimbali:4.3.1.1 Aina za ViambishiKuna aina mbalimbali za upachikaji viambishikama vile uambishi awali (prefix);uambishi kati (infix); uambishi tamati(suffix) na uambishi mzunguko (cirumfix):Kiambishi awali (kAWALI ) –wa-toto(kAWALI-MZIZI)Kiambishi kati (kKATI ) - (rumpo<rup)MZI-kKATI-ZIKiambishi tamati (kTAMATI) (meza-ni)MZIZI-kTAMATIKiambishi mzunguko (-kMZUN- kGUKO) (ke-baik-an) -kMZUN-MZIZI-kGUKO
66MifanoyaKiambishimzungukoinapatikanakatikalughayaKiindonesianaKifilipino Tuangalie mifano hiyo michache:(2)MziziKiambishi mzungukomaanabisa ‘kuwa na’ke-bisa-an‘uwezo’baik ‘nzuri’ke-baik-an‘uzuri’tinggi ‘refu’ke-tenggi-an‘urefu’kenal ‘kujua’memper-kenal-kan‘kutambulisha’UkiangaliakatikamifanokutokaKiindonesiautakutakuwake-…..-aninaundakipashiokimoja.Kiambishiawalike-hakisimamipeke yakeshartikiwenakiambishitamati–an.Hivyonenokamakebisaan‘uwezo’hutokananamzizi‘bisa’kupachikwakiambishiawalike-nakiambishitamati‘an’.Haiwezekanikuwa na *kebisaau *bisaanpeke yake.Namnanyengineyakugawamofimunikatiyazilemofimuhurunamofimufunge. Mofimu huru ni kama vile yale maneno ya kileksika kama vile tunda, baya,nzuri, au maneno umilisi kama vile ‘au’, ‘hii’, n.k. Kwa upande wa mofimu fungehapa tunaona viambishi kama vile nafsi au wakati vinavyopachikwa katika mzizi.Haviwezi kuwa huru; ni lazima viambatane na mzizi.ZINGATIAMpaka sasa tumeona nadharia za muundo wa maneno kwa kuzingatiakipashio kidogo cha mofimu. Sehemu inayofuatia itajihusisha nakanuni za uundaji wa maneno hasa uambishaji (affixation) namuambatano (compounding)
674.4UAMBISHAJI (AFFIXATION)Ni upachikaji wa mofimu katika mzizi. Mofimu zinazopachikwa katika mzizi waneno huweza kugawika katika makundi mawili; mofimu za uambishaji kisarufi namofimuzauambishajinyambulishi.Mzizikitenzi-som-huwezakupachikwaviambishi kama vile(3)a-na-som-a , wa-ta-som-esh-w-a, ha-u-som-i. n.kLakini vilevile tunaweza kuona mzizi huo wa kitenzi ukiambishwa ifuatavyo:(4)som-o, m-som-i,ma-som-o-nin.kJe, uambishajiwa (3) na (4) una umilisi ulio sawa?

Upload your study docs or become a

Course Hero member to access this document

Upload your study docs or become a

Course Hero member to access this document

End of preview. Want to read all 142 pages?

Upload your study docs or become a

Course Hero member to access this document

Term
Fall
Professor
Nzuki Mwinzi
Tags

  • Left Quote Icon

    Student Picture

  • Left Quote Icon

    Student Picture

  • Left Quote Icon

    Student Picture